The House of Favourite Newspapers

Polisi Wakamata SMG, Risasi 22 na Mafuta Dar

polisi-1

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam CP Simon Sirro akizungumza na wanahabari kuhusu kukamata bunduki aina ya SMG na risasi 22 jijini Dar es Salaam leo.

polisi-2

…Akionyesha  bunduki ya  SMG iliyoporwa wakati majambazi walipovamia Benki ya CRDB Mbande na kuua askari wanne.

polisi-3

…Akionyesha baadhi ya viroba vya Konyagi feki vilivyokamatwa.

polisi-4

…Akionyesha mtambo wa kutengeneza viroba hivyo ambao pia umekamatwa.

polisi-5

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu za Walipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato (TRA), Richard Kayombo,  akizungumza kuhusu shehena ya mafuta ya kula yaliyokamatwa kutokana na kukwepa kodi na kutothibitishwa kiwango chake na Shirika la Viwango nchini (TBS).

siro-1 siro-2 siro-3 siro-4 siro-5 siro-6    

(PICHA;DENIS MTIMA/GPL) 

Comments are closed.