The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Pigo Tena Bongo Movie, Muigizaji Haji Jumbe Afariki Dunia

Muigizaji wa tamsthilia hapa Bongo, Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki dunia jana Jumatatu jioni, Oktoba 24, katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi.

 

bensoniMarehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson

Imearifiwa kuwa, siku chache kabla ya kifo chache, zilizopita alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo.

Mazishi yanatarajia kufanyika leo Jumanne majira ya saa 9:00 Alasiri, huko Bagamoyo, Pwani.

bensoni2Marehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson akiwa na familia yake mke wake Linda na Mtoto wake Alex katika igizo la Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA

 

Comments are closed.