The House of Favourite Newspapers

Afariki Akiwa Hospitali kwa Kukosa PF3

0

MWANAMKE mmoja nchini Nigeria amefariki baada ya hospitali kukataa kumtibu bila ripoti ya polisi baada ya kujeruhiwa kwa kuchomwa kisu shingoni  na mwizi.

Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Moradeun Balogun, amefariki katika Hospitali ya Jilad nchini humo na kuiacha familia yake katika kipindi kigumu.

 

Msemaji wa hospitali hiyo amekanusha tuhuma hizo na kudai kuwa walitaka kumwandalia mwanamke huyo matibabu maalum.

Leave A Reply