The House of Favourite Newspapers

Alichokisema Lowassa Leo, Mwaka 1 Baada ya Uchaguzi wa Rais

lowassaIKIWA ni mwaka mmoja tangu Watanzania walipofika kwenye vituo vy kupigia kura na kumchagua rais wanayemtaka kwa mujibu wa katiba na sheria ya nchi, aliyekuwa mgombea urais kwenye kinyang’anyiro hicho akiwakilisha UKAWA kupitia tiketi ya CHADEMA, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa ameandika maneno haya kwenye akaunti yake wa twitter.

“Siku ya Leo, tarehe 25 Oktoba, Mwaka jana, 2015, Watanzania waliamua, naheshimu sana Na tutaendelea kuwa PAMOJA. Mungu awabariki wote.”

Comments are closed.