The House of Favourite Newspapers

Alikiba Afunika Tabora, Akusanya Kijiji ‘Unforgettable Tour’ – Picha

0
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba akifanya yake usiku wa kuamkia leo mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

USIKU wa kuamkia leo Desemba 1, 2019 msanii wa Bongo Fleva, Alikiba amefanya shoo ya aina yake katika Tamasha lake la Unforgettable Tour, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoa wa Tabora ambalo ni sehemu ya kuazimisha miaka yake 17 kwenye muziki.

Wasanii wa Kings Music.

Alikiba amesindikizwa na wasanii wa Kings Music waliopanda jukwaani na kuachia burudani kwa kuimba ngoma moja baada ya nyingine, ambapo Alikiba alipanda na Cinderella na kumaliza na ngoma yake mpya inayofanya vizuri kwa sasa ‘Mshumaa’.

 

Leave A Reply