The House of Favourite Newspapers

Bomba la Mafuta… Wakenya Wanuna Tena

0

bomba la mafuta5Bomba la mafuta.

DAR ES SALAAM: Tanzania kushinda mradi wa kujenga bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda kwenda Bandari ya Tanga kwa ajili ya kusafirisha nchi mbalimbali duniani kumeonekana kuwanunisha baadhi ya Wakenya ambao awali waliamini tenda hiyo ingeangukia mikononi mwao, Amani linashuka na jambo.

Hilo lilibainika hivi karibuni kufuatia mfanyabiashara mmoja wa Kenya aliye jijini Dar, John Ngugi kuzungumza na Amani na kusema kuwa, Wabongo kupata mradi huo kumewanunisha baadhi ya Wakenya kwa vile mradi huo utaingiza pesa nyingi sana kwa taifa.

  • MSIKIE HUYU
    Kumbe ilikuwa itoke kwa Museven (Yoweri, Rais wa Uganda) mpaka Bandari ya Lamu au Mombasa.
  • Wakenya waduwaa bomba kuja Tanzania.

magufuli1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

  • Wakenya wamezoea wakiona kitu kizuri cha Bongo wanakifanyia tangazo kwamba kiko nchini Kenya huku mitandao ya kijamii ikidaiwa kucheza michezo hiyo.
    kama Mlima Kilimanjaro, Bonde la Olduvai Gorge, Daraja la Kigamboni.

museveniRais wa Uganda, Yoweri Mseveni.

  • Mbinu za Ushindi
    Mbinu ya ushindi ya kulinasa bomba hilo yabainika
  • A-Z, Rais Magufuli alivyompokonya tonge mdomoni Rais Kenyatta.
  • Ubora na usalama wa Bandari ya Tanga wachangia.
  • Umakini wa JPM katika kusimamia miradi ya Serikali wachochea ushindi.

epa03891049 Kenyan President Uhuru Kenyatta attends an inter-faith prayers ceremony held for the victims of the Westgate shopping mall terrorist attack in Nairobi, Kenya, 01 October 2013. Kenyatta vowed that the military will continue its operations in Somalia. EPA/DAI KUROKAWARais Uhuru Kenyatta wa Kenya.

  • SIFA ZA MRADI
  • Sifa za mradi huo zimo zimeanikwa kwenye AMANI
  • KUNUNA MARA YA PILI
  • Hii itakuwa mara ya pili kwa Wakenya kuaminiwa kwamba wamenuna kwani wakati wa ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama nchini Tanzania, Julai, 2013, iliaminika kuwa, baadhi ya wananchi wa Kenya walinuna kwa vile Obama alikuja Bongo badala ya kwao ambako ndiko kwenye asili yake. Hata hivyo, Obama aliitembelea Kenya, Julai mwaka jana.

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA AMANI, LEO April 28, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply