Breaking: Kocha Aussems Afungasha Virago Simba Sc

Kocha wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems, kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram leo Novemba 30, 2019 amethibitisha kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, kupitia kwa Mtendaji mkuu wa timu hiyo, Senzo Mazingiza, imemtaarifu kwamba, kuanza sasa, yeye sio kocha mkuu wa timu ya Simba SC.


Loading...

Toa comment