The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Chadema washinda kesi ya Mawazo

0

12112472_1373288882685526_5129420511440581790_nAlphonce Mawazo enzi za uhai wake.

HATIMAYE Mahakama Kuu jijini Mwanza imetoa hukumu ambapo Chadema na familia ya Mwenyekiti wa Chadema mkoani, Geita Alphonce Mawazo wameshinda kesi hivyo wameruhusiwa kuendelea na taratibu za kuaga mwili wa marehemu na kuzika, pia Polisi watoe ulinzi kama ilivyo wajibu wao kwa kuzingatia mipaka ya kazi yao.

Leave A Reply