×


FacebookAmani

Zari minyoosho kama yote!

WAKATI upande wa pili huku wakiwa bize na mambo yao ya kusubiri mtoto na nini na nini, huko Sauz mambo ni moto kwani aliyekuwa mpenzi…

SOMA ZAIDI

TUNDA ANG’AKA KUMWAGANA NA WHOZU

VIDEO Vixen Bongo, Ana Kimario ‘Tunda’ amesema anashangaa kuona watu wakimnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa ameachana na mpenzi wake wa sasa Whozu wakati si…

SOMA ZAIDI

Rayvanny , Lulu gumzo

WATU weweee! Ndivyo hali ilivyokuwa mapema wiki hii baada ya kudaiwa Rayvanny na Lulu kuna kitu kinaendelea. Mambo yalikuwa hivi; Rayvanny alitupia picha ya Lulu…

SOMA ZAIDI

Ester, Wema ameniumiza sana!

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Ester Kiama amesema muigizaji mwenzake, Wema Isaac Sepetu amemuumiza roho hadi kumfanya aangue kilio na kukosa raha siku nzima. Ester ameyasema…

SOMA ZAIDI

Lulu Diva ana nguo hadi anasahau

MWANAMUZIKI Lulu Abbas ‘Lulu Dava’ ameibuka na kusema kuwa linapokuja suala la kuvaa kwake hana mchezo kwani ana chumba kizima kwa ajili ya nguo na…

SOMA ZAIDI


AUNT AKATA NGEBE ZA UWOYA

DAR ES SALAAM: Staa mkubwa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya kufuru kubwa na kumfunika staa mwenzake, Irene Uwoya baada ya kufungua pub yake kubwa…

SOMA ZAIDI

Diva Atakayenioa hajulikani kirahisi

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye anga la Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa licha ya watu kumhusisha na wanaume wengi tofauti lakini mwanaume halisi…

SOMA ZAIDI


MWANAHERI Silitumii vibaya shepu langu!

MWANADADA anayekimbiza kwenye Tamthiliya ya Kapuni, Mwanaheri Ahmed amefunguka kwamba anajijua kuwa ameumbika lakini kamwe hawezi kujilengesha kwa wanaume wakware.  Akipiga stori na Gazeti la…

SOMA ZAIDI

FEZA AUKACHA U-TOM BOY

MTANGAZAJI wa Choice FM, Feza Kessy amefunguka kuwa ameamua kuanza kuvaa magauni na kuvaa mawigi ili kuondoa ule muonekano wa kiume (u-tom boy) kama watu…

SOMA ZAIDIKumekucha! Polisi wamsaka Roma

DAR ES SALAAM: Kumekucha tena! Baada ya ukimya mrefu kupita tangu apate msala wa kutekwa na watu wasiojulikana, mkali wa michano ya Hip Hop, Bongo,…

SOMA ZAIDI

CASTO AWASHUKIA TUNDA, WHOZU!

MTANGAZAJI wa Clouds TV, Casto Dickson ameibuka na kuwavaa aliyekuwa mpenzi wake; Tunda na jamaa wake wa sasa Whozu kuwa waache kumtajataja katika maisha yao…

SOMA ZAIDI


GIGY AWAKA KISA MPENZI WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amewaka vibaya kwamba watu waache kufuatilia maisha yake na badala yake wafanye mambo yatakayowaingizia faida na siyo…

SOMA ZAIDI

SANGOMA MASHAROBARO WATIKISA

DAR ES SALAAM: VIJANA watano waliotajwa kuwa ni waganga wa kienyeji ‘sangoma’ tena masharobaro wameutikisa mji wa Morogoro baada ya kudaiwa kutoa mapembe (majini au…

SOMA ZAIDI


ESMA, JAMAA MPYA MAMBO NI MOTO!

 DADA’KE Diamond, Esma Platnumz na jamaa anayedaiwa kuwa ndiye mtu wake kwa sasa mambo ni moto ambapo wawili hao picha zao zimekuwa zikitrendi vibaya kwenye…

SOMA ZAIDIMUNA AIPANGA NDOA YAKE KICHWANI!

MuigizaJi wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rose alphonce ‘Muna’ amefunguka kuwa, anaiona ndoa yake siku za hivi karibuni hivyo tayari ameanza kuipanga jinsi…

SOMA ZAIDI


MSANII APIGWA MIMBA YATOKA

DAR ES SALAAM: MAMBO mengine yanatafakarisha! Hivi inawezekanaje umkataze mtu atukane halafu ageuke mbogo na baadaye kukushushia kipigo hadi ujauzito uharibike? Amani limepokea kisa hiki…

SOMA ZAIDI

MKIACHANA MNAPASWA KUISHI HIVI!

HAKUNA kitu kinauma kama kuachwa. Anayeachwa huwa anakuwa hayupo tayari kukubali matokeo. Aliyemuacha mwenzake anakuwa amejiandaa wakati mwenzake hajajiandaa. Ni rahisi sana kwa aliyeachwa kutengeneza…

SOMA ZAIDI


IYOBO, AUNT ‘FULL’ KURUSHANA ROHO

DANSA wa Kundi la Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Moses Iyobo ‘Moze’ na mzazi mwenziye Aunt Ezekiel ambao sasa wamemwagana, hivi karibuni walionekana kurushana roho baada…

SOMA ZAIDI

JUMA NATURE KUIBUKA NA NANDY, HARMONIZE

MSANII mkongwe katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Nature’ amefunguka kuwa, ana nyimbo nyingi alizofanya yeye mwenyewe na alizowashirikisha wasanii wengine ambazo…

SOMA ZAIDI

 PENZI LA KIBA LAMTESA MREMBO!

TOA la moyoni! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo mmoja anayetumia jina la Nancy_The_Beuty kueleza hisia zake za mapenzi kwa staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh…

SOMA ZAIDI


ASKARI AJIUA KISA MKWEWE

MOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji ya mkwewe, Amani lina habari…

SOMA ZAIDINotice: ob_end_flush(): failed to send buffer of zlib output compression (0) in /home/globalpublishers/public_html/wp-includes/functions.php on line 4536