×


FacebookHabariWatu 10 Wapoteza Maisha kwa Shambulizi

TAKRIBAN watu 10 wamefariki katika kaunti ya Wajir  nchini Kenya, jana (Ijumaa) baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi Al-Shabaab kushambulia basi liitwalo Medina….

SOMA ZAIDI
Trump Kung’olewa Madarakani?

Maprofesa watatu walioalikwa na Chama cha Democratic katika kikao cha kwanza cha kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la Wawakilishi mjini Washington, wamesema tuhuma…

SOMA ZAIDI


Akamatwa kwa Kutaka Kumuuza Mwanaye

MWANAMKE mmoja nchini Kenya amekamatwa na polisi katika kituo cha Siaya  kwa kosa la kutaka kumuuza mwanaye wa kiume.   Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina…

SOMA ZAIDI


Zitto Kabwe Amjibu Sumaye

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe,  amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye,  ambaye leo mchana Jumatano Desemba 4, 2019 ametangaza…

SOMA ZAIDIWadau Wa Internet Wapigwa Msasa

Wadau na wanachama wa chama cha Internet Societ (ISOC) wamepigwa msasa na Meneja wa Kanda ya Afrika, Bwana Victor Ndonnang kutoka nchini Nigeria. Mkutano huo…

SOMA ZAIDI