×


FacebookHadithiKifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 11)

ILIPOISHIA WIKIENDA… “Wanasheria wake wanaweza kupinga asitolewe damu.” “Tunawweza kutumia nguvu ya mahakama kumlazimisha atolewe damu kwa ajili ya uchunguzi wetu.” “Sawa. Unadhani itakuwa vyema…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 10)

ILIPOISHIA WIKIENDA… NILIPOSHUKA tu nikamuona mwenyekiti akichungulia mlangoni. Aliposikia gari linasimama nyumbani kwake akachungulia. “Vipi afande?” Akaniuliza. “Mlipoondoka nikakumbuka kwamba nilisahau kitu.” “Kitu gani?” “Nilisahau…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 9)

“NIMEKUWA na shaka naye sana. Katika pitapita zangu nilipata habari kwamba huyu Mabruki alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Matilida. Nilisikia siku aliyouawa Matilida, Mabruki…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 8)

ILIPOISHIA IJUMAA… NIKAKATA simu na kusimama. “Yule mtu tunayemtafuta ameshafika pale baa. Acha twende tukamkamate,” nikamwambia mke wangu. SASA ENDELEA… MKE wangu hakushangaa. Alikuwa akizijua…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 7)

ILIPOISHIA IJUMAA… “Umefanya kazi nzuri sana. Hata kama huyo mtu hatujampata, lakini ile kugundua kuwa anafahamika na watu, ni matokeo mazuri. Ninaamini kuwa tutamkamata,” Mwakuchasa…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 6)

  ILIPOISHIA WIKIENDA… “Alikuja, lakini Matilida hakuwepo. Akatuuliza sisi tukamwambia Matilida anaumwa. Sasa hatuji kama alimfuata nyumbani kwake.” Kwa vile picha ya mtu tuliyekuwa tunamtuhumu…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 5)

ILIPOISHIA IJUMAA… KUNA mtu mwingine aliyekuwa amepiga picha akiwa na msichana huyo katika pozi lililoonesha kuwa alikuwa mpenzi wake. Tukashuku kuwa huyo aliweza kuwa mpenzi…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 4)

ILIPOISHIA WIKIENDA… Nikashtuka na kutambua kuwa huyo ndiye yule msichana aliyeuawa mikononi mwangu. Mimi na polisi wenzangu tukatazamana kwa mshangao. “Mauaji yameanza tena kwenye jiji…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 3)

  ILIPOISHIA IJUMAA… Pembeni mwa kichwa chake kulikuwa na vipande vya chupa ya bia iliyovunjika ambavyo navyo vilikuwa na damu. Nilishuku kwamba chupa hiyo ndiyo…

SOMA ZAIDI

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 2)

  ILIPOISHIA WIKIENDA… “Kama unakwenda kazini si ninaweza kwenda peke yangu?” Nikamwambia. “Kwa nini uende peke yako wakati kadi yako imeandikwa bwana na bibi? Nakushauri…

SOMA ZAIDI


Kifo Mikononi Mwangu – Sehemu Ya 01

MSICHANA mwenyewe nilikuwa simfahamu. Tulikutana tu kwenye harusi ya rafiki yangu, akaniambia ananifahamu. Msichana alikwenda mbali zaidi, akaniambia niliwahi kuwa mpenzi wake kisha nikamtoroka na…

SOMA ZAIDI

Mwendawazimu Aliyefufuka-03

ILIPOISHIA… Alipogeuka nyuma, akamwona jamaa anahangaia kuvuka barabara, wakati huo yeye tayari alikuwa amekwisha likabili daladala lililokuwa tayari kwa kuondoka. Upesi akatumia nafasi hiyo kuingia…

SOMA ZAIDI


MWENDAWAZIMU ALIYEFUFUKA – SEHEMU YA 2

ALIPOISHIA… “She was attaked!!!!..” alibweka tena kwa fadhaa akishuhudia yule mrembo akigaa gaa chini kwa maumivu huku damu ikimchuruzika. Akaona kuendelea kupoteza sekunde za kumwangalia…

SOMA ZAIDI

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 3

ILIPOISHIA: “Inuka na ufanye ninachokueleza, ukizingua unajua nini kitatokea,” nilisema kwa sauti ya chini lakini yenye mamlaka, yule mwanamke akakurupuka akiwa ni kama haamini kilichotokea,…

SOMA ZAIDI


THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

“Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimesema fungua! Fungua kwa hiyari yako!” “Huyo ni nani?” “Shiii! Rudi ndani kalale!” “What is…

SOMA ZAIDI
Mfu Aliyerudiwa na Uhai-12

 ILIPOISHIA WIKIENDA Shangazi aliporudi tena chumbani na kuniona nilivyokuwa akaniambia: “Nimeshampigia mama yako, amesema atafika muda si mrefu lakini kutokana na hali yako ilivyo, hatutamsubiri….

SOMA ZAIDI

Mfu Aliyerudiwa na Uhai-7

ILIPOISHIA IJUMAA… “Kwa vile mama yako ndiye amesema hivyo, nitafanya bidii nipate hizo pesa kabla ya wiki hii kumalizika.” “Itakuwa vyema kama zitapatikana haraka.”  …

SOMA ZAIDI

Mfu Aliyerudiwa na Uhai-3

  ILIPOISHIA IJUMAA… Elimu ya msingi alisoma Tanga, lakini elimu ya sekondari na chuo alisoma Dar na akapata kazi hapohapo Dar. Wakati tunakutana na kuanza…

SOMA ZAIDI

Mfu Aliyerudiwa na Uhai-4

ILIPOISHIA WIKIENDA Huyo mtu atakuoa wakati huu unasoma au…” “Anasubiri nimalize masomo.” “Lini?” “Hapo nitakapomaliza.” “Kwa hiyo ukienda kidato cha tano na cha sita atakusubiri…

SOMA ZAIDI


Mfu Aliyerudiwa na Uhai-2

  ILIPOISHIA WIKIENDA Wakati tunataka kuagana alitia mkono mfukoni akatoa bupa la noti, akahesabu shilingi elfu hamsini akanipa. “Chukua hii itakusaidia kwa usafiri.” “Asante,” nikamwambia…

SOMA ZAIDI

Mfu Aliyerudiwa na Uhai -01

Naitwa Esma Mabruki, lakini watu wangu wa karibu walinikatisha na kuniita Esy. Mpaka leo Esy ndilo limekuwa maarufu.   Ni mzaliwa wa Dar es Salaam. Nilizaliwa…

SOMA ZAIDI

Michirizi Ya Damu – 17

Aliendelea kumwambia rubani yule ashushe ndege kwa kiasi fulani ili aweze kuruka. Baada ya kubembelezwa sana hatimaye rubani huyo akaishusha ndege hiyo kwa umbali wa…

SOMA ZAIDISEVEN DAYS IN HELL (Siku Saba Kuzimu)- 58

ILIPOISHIA: “Yule kule aliyekuwa ananguruma kama mnyama ni nani?” Firyaal aliuliza swali, nikawaona wenzake wote wakitingisha vichwa, kuunga mkono swali hilo. “Ni stori ndefu kidogo,…

SOMA ZAIDI

SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU)- 57

ILIPOISHIA: “Jamal! Jamal! Amka, kuna tatizo,” sauti ya Junaitha ndiyo iliyonizindua kutoka kwenye usingizi fofofo, nikakurupuka nikiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua kumetokea nini…

SOMA ZAIDI