×


FacebookMakala

Moto hafunikwi shuka

  MIMI sihitaji mkeka; kwani nataka kuswali? Miye hata chini naketi, kikubwa ujumbe ukufike bibiye upooo!?  Kuna mwenzenu mmoja kaninukisha shombo, basi hapa najisikia kichefuchefu…

SOMA ZAIDI

Ubora wa radio iwe na pa kuzimia

SHOGAANGU miye upooo? Nishaupiga mswaki tena, ruksa kukupasha; ukiwa na nongwa ya senene kuficha kichwa watu watakuchezea mkia, heee heeeyaaa.  Cheko hilo shogaangu usiseme ni…

SOMA ZAIDI
Uzuri wa uwanja usafishwe

PAAAMBE SHOGA… wanakwambia mfuniko wa soda hautunzwi na ukitaka kujua kanga ina umuhimu nenda ukweni na taiti, upo nyonyo? Heee heeeeeiyaaaaa heri uwe na guu…

SOMA ZAIDI

Hisia 8 za kuepuka katika mapenzi

MIONGONI mwa vitu vinavyochangia kuharibu uhusiano wa kimapenzi ni hisia mbaya. Wapenzi wengi wameachana kwa sababu si kwamba walithibitisha ubaya wa wenza ila walijijaza wenyewe…

SOMA ZAIDI

Dela la kuazima Halichafuki

WANAKWAMBIA ndege wafananao huruka pamoja nashanga wee bundi sijui utaruka na nani? Hehe heeeiyaaaaaa! Shoga mji wa moto huu, unaweza kukoroga maji ya baridi ukajua…

SOMA ZAIDIMahaba: Punguza Moto Wali Uive

HALOOOO eeeehhh shoga wanakwambia mjini raha jipe mwenyewe, hata kama mtu mzima nunua pampas kisha jikojolee, kwani bei gani! Unajifanya kuvaa viatu virefu wakati hata…

SOMA ZAIDI


Umepoteza matumaini ya ndoa? Elimika!

UKIFANYA tathmini ya ndoa nyingi, ni wachache sana ambao watakuambia wanazifurahia. Wengi watakuambia wapo kwenye mateso mazito, wanatamani kutoka. Matatizo ni mengi kuliko mazuri, waliopo…

SOMA ZAIDI

Hata ukifanyia gizani, dunia haina siri

NI siku nyingine nzuri tunapokutana kwenye ukurasa huu, mahali ambapo tunajadiliana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi na maisha kwa jumla.  Tumewahi…

SOMA ZAIDI

Notice: ob_end_flush(): failed to send buffer of zlib output compression (0) in /home/globalpublishers/public_html/wp-includes/functions.php on line 4536