×


FacebookMichezoSimba Yaandika Historia Bongo

RASMI sasa Klabu ya Simba imeandika historia yake mpya ambapo, Jumatatu hii timu yake ya soka itaanza kutumia viwanja vyake viwili vilivyopo Bunju jijini Dar…

SOMA ZAIDI

Kocha Mpya Simba Afunguka, Atua Dar

  BAADA ya aliyekuwa kocha wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems kubeba mabegi yake na kusepa kwao, uongozi wa timu hiyo fasta, umemshusha Mzambia, Beston Chambeshi….

SOMA ZAIDI

Samatta Ampeleka Mkewe Ubelgiji

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na mshambuliaji wa KR Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ameamua kumbeba jumla mkewe kwa kumpeleka Ubelgiji….

SOMA ZAIDI


Yanga Washusha Kiungo Kiboko ya Mkude

MABOSI wa Yanga wamekiangalia kikosi chao kilichocheza michezo nane ya Ligi Kuu Bara, fasta wakakubaliana kushusha kiungo fundi mchezeshaji mwenye uwezo wa kuchezesha timu na…

SOMA ZAIDI
Mwakinyo Usijimwambafai Kupitiliza

USIKU wa Ijumaa ya wikiendi iliopita naamini ulikuwa mzuri kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini baada ya bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo kumshinda…

SOMA ZAIDI

Ni Ongala na Maxime Yanga SC

YANGA ina majina mawili ya Makocha mezani ambayo mmoja wao ndiye atakayekuwa kocha msaidizi wa Yanga kuanzia mwezi ujao na wote ni vijana machachari. Ingawa…

SOMA ZAIDI

Mwakinyo Amuomba Radhi Matumla

BONDIA Hassan Mwakinyo, ameamua kuweka tofauti zake pembeni na bondia mkongwe Tanzania, Rashid Matumla baada ya jana kumuomba radhi mbele ya Watanzania.   Mwakinyo ambaye…

SOMA ZAIDI


Wazee Wanaobebwa na Penalti Bara

MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara unaendelea   kusonga mbele timu zikiwa zimecheza  mpaka mechi 13 ingawa bado kuna baadhi ya timu zipo nyuma na zina…

SOMA ZAIDI

Simba Yamchomoa Kocha Stars

MABOSI wa Simba wanauchukulia umuhimu mchezo wao wa watani wa jadi, Yanga ni baada ya kuwasiliana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kupata ruhusa…

SOMA ZAIDI


Simba SC yawazuia Yanga kuondoka Dar

WACHEZAJI wa Yanga wameambiwa na uongozi: “Hakuna kuvunja kambi, mtabaki hapahapa Dar mpaka mtakapocheza na Simba.”   Hii imetokea siku chache baada ya awali kuaminika…

SOMA ZAIDI


Aussems Ampa Majukumu Matatu Kocha Simba

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ametamka kuwa kocha ajaye ndani ya kikosi hicho, anatakiwa anatakiwa akifanyie mambo makubwa matatu kama anataka kubaki….

SOMA ZAIDI
Mrithi wa Aussems Simba ni Huyu

WAKATI Kocha Msaidizi akiwa Selemani Matola, jina la Kocha Mkuu wa AS Vita ya DR Congo, Jean-Florent Ikwange Ibengé limetajwa kuwa ndiye anayetarajiwa kumrithi Mbelgiji,…

SOMA ZAIDIAzam Chupuchupu Kuchezea Kichapo

KLABU ya Azam jana iliponea chupuchupu kupokea kichapo mbele ya JKT Tanzania na kulazimishwa sare ya mabao 2-2 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam…

SOMA ZAIDI

Okwi Afungua Akaunti Ya Mabao Misri

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba hivi sasa anayekipiga Al Ittihad Alexandria ya Misri, Mganda Emmanuel Okwi, amefungua akaunti ya mabao kwa kufunga bao moja…

SOMA ZAIDI


Matola Kutua na Silaha Zake Simba

WAKATI kukiwa na tetesi za Kocha wa Polisi Tanzania, Seleman Matola kutakiwa na Simba, taarifa zinasema tayari kocha huyo ameanza kutanguliza silaha zake Mzimbazi.  …

SOMA ZAIDI

Liver Kumkosa Fabinho Wiki 10

KIUNGO tegemeo wa Liverpool, Fabinho anatarajiwa kukosa mechi kadhaa muhimu kwa timu yake kutokana na kupata majeraha ya kifundo cha mguu, aliumia katika mchezo juzi…

SOMA ZAIDI

Makambo Kuikamua Yanga SC Mil 204

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa kama kweli inamuhitaji mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Heritier Makambo iwe tayari kumlipa mshahara…

SOMA ZAIDI
Yanga Yamrudisha Tambwe Dar

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umedaiwa kuwa upo kwenye harakati za kutaka kumrudisha Mrundi, Amissi Tambwe kikosini hapo kwa ajili ya kuiongezea nguvu safu ya…

SOMA ZAIDI