×


FacebookMikasa

Denti Apewa Mimba na Bab’ake Mzazi

  HIVI dunia inakwenda wapi? Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mkenyenge wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, (jina linahifadhiwa), amemtaja baba yake mzazi aitwaye Kidumali kuwa amemgeuza…

SOMA ZAIDI

AZIMIA AKIMUOMBA PENZI MUME WA MTU!

NANI kasema wanawake hawawezi kuwatongoza wanaume? Mjini Morogoro mwanamke mmoja (jina halikupatikana) amejikuta akizimia wakati akimuomba penzi mume wa mtu.    Tukio hilo la aina…

SOMA ZAIDI

 Mtoto Ajinyonga Akisonga Ugali

MTOTO aliyejulikana kwa jina la Maria Saidi Mtengwa (16) mkazi wa Salasala jijini Dar amekatisha uhai wake kwa kujinyonga kikatili wakati akiandaa chakula cha mchana…

SOMA ZAIDI

ANASWA WIZI WA MTOTO MCHANGA

AIBU! Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Mkazi wa Urambo mkoani Tabora amenaswa kwa wizi wa mtoto mchanga.  Tujiunge na mama Akizungumza na…

SOMA ZAIDI
MADAKTARI WAKWAA SKENDO

HUJAFA hujaumbika ni msemo wa Kiswahili wenye tafsiri ya maisha ya kiumbe na maumbile yake halisi aliyoumbwa na Mwenyezi Mungu na baadaye kuishi duniani kwa…

SOMA ZAIDI
FAGIO KALI CCM

HALI ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kinachounda serikali si shwari kutokana na kuwepo kwa madai kuwa, kuna baadhi ya makada wa chama…

SOMA ZAIDI


SABABU WANAWAKE KUUAWA ZAANIKWA

MATUKIO ya wanandoa kuuana yanaendelea kukithiri nchini na kuleta tishio jipya hasa kwa wanawake ambao kwa kiasi kikubwa ni waathirika wa matukio haya ya kinyama. …

SOMA ZAIDI

SANGOMA MASHAROBARO WATIKISA

DAR ES SALAAM: VIJANA watano waliotajwa kuwa ni waganga wa kienyeji ‘sangoma’ tena masharobaro wameutikisa mji wa Morogoro baada ya kudaiwa kutoa mapembe (majini au…

SOMA ZAIDI


MAMA ALALA NA NYOKA SIKU 14

MAMA mmoja aliyefahamika kwa jina la Asha Mohammed mkazi wa Boko Chama jijini Dar amejikuta katika mateso mazito kufuatia kupooza miguu na masikio yake kutosikia…

SOMA ZAIDI


MSANII APIGWA MIMBA YATOKA

DAR ES SALAAM: MAMBO mengine yanatafakarisha! Hivi inawezekanaje umkataze mtu atukane halafu ageuke mbogo na baadaye kukushushia kipigo hadi ujauzito uharibike? Amani limepokea kisa hiki…

SOMA ZAIDI


SIMANZI NZITO MGODINI

NI simanzi nzito! Wachimbaji wawili wa dhahabu katika Kijiji cha Izumbi, Sangamba Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi cha…

SOMA ZAIDI


ASKARI AJIUA KISA MKWEWE

MOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji ya mkwewe, Amani lina habari…

SOMA ZAIDI


GARI LA PESA LAZUA BALAA

MOROGORO: Gari linalodaiwa kusafirisha pesa kutoka Hazina na kuzisambaza kwenye mabenki mjini Morogoro mwanzoni mwa wiki hii likiwa katika mwendo kasi, linadaiwa kumgonga mwendesha baiskeli…

SOMA ZAIDI

PAKA WAAJABU AMTIKISA MCHUNGAJI

MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Tukio la kushangaza lililotikisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita ni la paka wa ajabu kutinga katika eneo…

SOMA ZAIDI