The House of Favourite Newspapers

Cheki picha za Amber na Black Chyna walivyosimamisha mitaa

0

Amber Rose & Blac Chyna 5 Amber Rose na shosti wake, Blac Chyna wakiwa kwenye sherehe hiyo.Amber Rose & Blac Chyna 1 …Wakiwa mtaani.Amber Rose & Blac Chyna 3
WIKI hii wanamitindo na wacheza utupu, Amber Rose pamoja na shosti wake wa muda mrefu, Blac Chyna walisimamisha mitaa kwa muda huku watu wengi wakichukua muda wao kuwashangaa kwa jinsi walivyokuwa wamevaa.

Amber Rose & Blac Chyna 2Katukio hako ‘amaizing’ kalijiri katika Visiwa vya Trinidad & Tobago ambapo wawili hao walikuwa wamekwenda maalumu kwa tamasha kubwa la kimila za huko.

 

Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL

 

 

Leave A Reply