BASATA Yamfungulia Nay wa Mitego
Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia mwenye miwani ni Meneja wake, Maneno John.
Nay wa Mitego akizungumza.
Nay wa Mitego akionyesha cheti chake cha usajili na kibali cha BASATA.
Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.
(PICHA: DENIS MTIMA/GPL)