The House of Favourite Newspapers

Dar es Salaam Kinara wa Matokeo ya Darasa la Saba 2019

Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kwa ufaulu wa mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba mwaka 2019. Nafasi ya pili ni Arusha na Iringa ukishika nafasi ya tatu, Mikoa mingine ni Kagera (4), Katavi(5) Kilimanjaro(6), Mbeya(7), Simiyu(8), Njombe(9) na Pwani nafasi ya 10.

BOFYA ====> PSLE-2019 EXAMINATION RESULTS

Comments are closed.