The House of Favourite Newspapers

Dar Wachangamkia Gazeti la Uwazi

0

1

Mwanadada Fortunata Elia mkazi wa Yombo-Relini akisoma gazeti la Uwazi, pembeni ni Ofisa Usambazaji wa Global, Jimmy Haroub.

2

Riziki Salehe mkazi wa Kijiwe-Samli akisoma gazeti hilo.

3

Mama Lyimo akiwa na Ofisa Usambazaji maeneo ya Kijiwe- Samli akisoma gazeti baada ya kulinunua akiwa sambamba na ofisa usambazaji.

4

Abdallah Juma mkazi wa Bombom akielekezwa jambo kwenye gazeti na ofisa usambazaji.

5

Kombo Juma wa Yombo-Chama akiwa na nakala yake ya gazeti la Uwazi.

6

Wakazi wa Tandika sokoni wakisoma gazeti la Uwazi.

7

James Kweka mkazi wa Temeke akisoma nakala ya Uwazi.

WAKAZI wa maeneo  mbalimbali jijini Dar leo wamejikuta wakilifurahia vilivyo Gazeti la Uwazi ambalo limesheheni habari za kusisimua huku wakilipongeza kwa hatua hiyo ya kufichua maovu katika jamii.

Maofisa Usambazaji wa Global Publishers walipita maeneo ya Kijiwe-Samli, Bombom, Tandika, Vingunguti, Yombo-Relini wakilinadi gazeti hili na kusababisha watu wengi kulichangamkia kwa kulinunua kama baadhi ya picha hapa chini zinavyoonyesha.

(Stori/picha: Gladness Mallya/GPL)

Leave A Reply