The House of Favourite Newspapers

DC Sabaya Amsweka Ndani Kapteni wa Jeshi ”Unajifanya Kichaa?” – Video

0

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amerejesha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) eneo lenye ukubwa wa ekari mbili lililokuwa limeporwa na Kapteni Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), John Mushi kwa zaidi ya miaka 35.

 

Ole Sabaya amerejesha eneo hilo na kuwaagiza TAKUKURU wahakikishe Mstaafu huyo ambae kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Fiber Board Arusha, alipe fedha zote za Serikali kuanzia alipomiliki shamba hilo tangu mwaka 1984.

 

Aidha, DC Sabaya ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kumshikilia Afisa huyo Mstaafu wa Jeshi.

 

Leave A Reply