The House of Favourite Newspapers

Eddy Kenzo Aanika Figisu Alizofanyiwa Kwenye Tuzo za MTV

eddy-kenzo

MKALI wa muziki kutokea nchini Uganda, Eddy Kenzo wa Uganda, amweka wazi sababu za yeye kushindwa kufurukuta kwenye tuzo ya MTV MAMA 2016 zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Ticketpro Dome, Johannesburg nchini Afrika Kusini, juzi Jumamosi usiku huku akidai kuwa alifanyiwa figisu kuhusu ushindi wake kwenye tuzo hizo.

Eddy Kenzo aliyekuwa ametajwa kwenye kipengele cha Best Live Act amewanga waandaaju wa tuzo huzo kupitia Instagram akidai kuwa waandaji hawakuzingatia kura zilizopigwa.

Amedai kuwa pengine kwakuwa yeye ni balozi wa mtandao wa Airtel huku mdhamini mkuu wa MTV MAMA ni MTN, wameamua kumpa Cassper Nyovest ambaye ni balozi wa mtandao huo nchini Afrika Kusini.

Kenzo anaamini kuwa amefanya makubwa kuliko Nyovest kwa kuwa na show nyingi duniani lakini pia alipata kura nyingi zaidi kwenye kipengele hicho.

Alichokianika Eddy Kenzo:

 

 

I’m airtel ambassador MTN is the main sponsor 4 mamas and the winner in my category is mtn ambassador south Africa, Hehehe just for just. Remember!! I have performed in over 35 countries 10 of them full stadium what else? they told us to vote and my fans did go on all @mtvbaseafrica platforms click on #Bestliveact and see the winner by your self I’m not being jealous here, but I do complain because they told us to vote and the fans decide. go back and check their posts down thats what they said even in emails. I was the most voted in my category remember wen you click on #Bestliveact you can see the results Stonboy was 2nd flavour 3rd Caspa 4th. on all @mtvbaseafrica platforms even if it was you!!! should have felt the same. may be! I didn’t understand the word vote for your favorite nominee. Abig thanks to my fans guys the love is real may the Almighty bless the work of your hands.

A photo posted by Eddy Kenzo 0fficial (@eddykenzo) on

Mbali na kudai kufanyiwa figusu kwenye tuzo za MTV MAMA 2016, kwa upande wa pili wa shilingi, Kenzo amefanikiwa kutwaa tuzo ya #AEAUSA kipengele cha Best Video of The Year 2016 zilizotolewa nchunu marekani usiku huo wa juzi.

Comments are closed.