The House of Favourite Newspapers

EPL: Man City Akiwa Nyumbani Amepigwa 3-1 na Chelsea

KATIKA Mechi ya EPL iliyopigwa leo katika Uwanja wa Etihad nchini Uingereza, Manchester City amepigwa bao 3-1 dhidi ya klabu ya Chelsea.

Huu ni ushindi wa nane mfurulizo kwa klabu ya Chelsea ambayo kwa sasa imeanza kuthibitisha kuwa huenda ikawa bingwa wa ligi hiyo licha ya ugumu uliopo kwenye ligi hiyo kwa msimu huu. Sasa iko kileleni kwa pointi 34 mbele ya Liverpool wenye pointi 30.

3afc9db200000578-3996828-image-a-48_1480769831151 3afc9df600000578-0-image-a-26_1480769557292

Man City walionekana kuelemewa zaidi hasa kipindi cha pili huku wachezaj wake, Fernandinho na Sergio Aguero wote wawili wakipigwa kadi nyekundu na mwamuzi baada ya kufanya makosa uwanjani.

3afc98e300000578-3996828-image-a-55_1480771170062

Magoli ya Chelsea yalifungwa na Diego Costa dakika ya 60, Willian dakika ya 70 na Eden Hazard dakika ya 90 huku goli la Man City likipatikana kwa Chelsea kujifunga dakika ya 45 kupitia kwa Gary Cahill.

 

3afca5b500000578-3996828-image-a-49_1480769838513

Chelsea walisafiri katika dimba la Etihad wakiwa na kumbukumbu ya kumfunga Man City katika mechi za Ligi Kuu England mara ya mwisho February 3 2014, leo December 2 2016 Chelsea iliyochini ya kocha Antonio Conte wamefanikiwa kuifunga Man City goli 3-1. Hhuku mara ya mwisho Chelsea kumfunga Man City EPL alimfunga goli 1-0.

3afca5d500000578-0-image-a-36_1480769578886 3afca94d00000578-0-image-a-30_1480769567349 3afca52800000578-0-image-a-42_1480769590448 3afca87000000578-0-image-a-34_1480769575898 3afcab0800000578-3996828-image-a-47_1480769780614 3afcb1d900000578-3996828-image-a-51_1480769864440 3afcb43500000578-3996828-image-a-54_1480770371553 3afcce6600000578-3996828-image-a-62_1480772294067 3afcd8e700000578-3996828-image-a-69_1480773066205 3afcdc0b00000578-3996828-image-a-57_1480772094289 3afced5600000578-3996828-image-a-68_1480772834473 3afcf71d00000578-3996828-image-a-77_1480773848507 3afcfc7b00000578-3996828-image-a-71_1480773182309 3afcfe4d00000578-3996828-image-a-73_1480773187609 3afd272d00000578-3996828-image-a-84_1480773863878 3afd298600000578-3996828-image-a-81_1480773858613 3afd586800000578-3996828-image-a-80_1480773854717 3afe1ec200000578-3996828-image-a-102_1480775997508 3afe05aa00000578-3996828-image-a-95_1480775295930 3afe13ac00000578-3996828-image-a-99_1480775594728 3afe14b200000578-3996828-image-a-96_1480775589108 3afe044a00000578-3996828-image-a-93_1480775290153

screen-shot-2016-12-03-at-6-06-10-pm

Comments are closed.