Fungua Mwaka Na Weusi Wameileta ‘Wapoloo’ Wimbo Mpya
Kundi bora la muziki toka Arusha Tanzania ‘Weusi’ wameileta audio ya wimbo wao mpya ‘Wapoloo’
Wimbo umetengenezwa na Ammy Waves toka Studio za Switch.Unaweza ku download chini kabisa
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.