The House of Favourite Newspapers

Global Ilipotinga Kisutu Leo

1

4

Watuhumiwa mbalimbali wa uhalifu wakishuka ngazi baada ya kusikiliza kesi zao katika vyumba vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

2

…Wakipanda ngazi kuelekea katika vyumba vya Mahakama kusikiliza kesi zinazowakabili.

3

…Wakiwa chini ya askari magereza.

MTANDAO wa Global Publishers leo ulitembelea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo, miongoni mwa mambo mengine, ilijionea shughuli za mahakama hiyo zinavyoendelea.

Pia mtandao huu ulipata fursa ya kunasa picha za baadhi ya watuhumiwa waliokuwa wamefikishwa mahakamani hapo kukabili mashtaka yanayotokana na tuhuma mbalimbali.

Na Denis Mtima/GPL

Comments are closed.