The House of Favourite Newspapers

Happiness Massage Clinic, Huduma Bora za Matatizo ya Viungo vya Mwili

0

Happiness Massage (49) Happiness Massage (48)Mteja akipatiwa huduma ya Sauna.
Happiness Massage (88) Mteja akiwa amepakwa mafuta maalumkwa ajili ya Scrubbing.Happiness Massage (36) Mteja akifanyiwa Head massage (Masaji ya kichwa)

Face massageFacial deep cleanser (Kwa ajili ya uso).

Happiness Massage Clinic ni nani?

  • Ni kliniki ya kitaalam na ya kissasa inayoshughulikia matatizo katika viungo vya mwili wa binadamu na mifumo yake.

TUNATOA HUDUMA ZA MASSAGE KARIBU ZOTE

TUNAZO DAWA  KULINGANA NA TATIZO LA MTEJA

TUNA MAFUTA YA DAWA KWA AJIRI YA MASSAGE AINA ZOTE

KWA WAGONJWA WA MIFUPA, TUNAZO DAWA NA HUDUMA ZA KURUDISHA AFYA ZAO NA KUZIFANYA ZIWE IMARA

TUNAZO SINGLE SAUNA KWAAJIRI YA KUPUNGUZA MWILI NDANI YA SIKU SABA PIA INAONDOA  UCHOVU NA KUIMARISHA MWILI

Aina za massage zinazotolewa na Happiness Massage Clinic;

  • Deep tissue massage (Masaji katika tishu za ndani)
  • Relaxation massage (Masaji ya kutoa uchovu)
  • Combination massage (Masaji mchanganyiko)
  • Normal massage (Masaji ya kawaida)
  • Hot stone massage (Masaji ya kutumia jiwe)
  • Aromatherapy massage (Masaji ya kutumia mafuta)
  • Hot towel massage (Masaji ya kutumia kitambaa)
  • Foot massage (Masaji ya miguu)
  • Back massage (Masaji ya mgongo)
  • Head massage (Masaji ya kichwa)
  • Pregnancy massage (Masaji kwa wajawazito)

Huduma zingine tunazotoa ni pamoja na;

  • Facial deep cleanser (Kwa ajili ya uso)
  • Body scrub
  • Eyebrows threading
  • Pedicure and manicure
  • Tuna mafuta maalum kwa wenye matatizo ya viungo vya mwili
  • Tunazo dawa za asili kwa wenye magonjwa sugu
  • Tunatoa ushauri bure kuhusu maradhi sugu na matatizo ya ngozi.

Bei zetu ni nafuu sanaaa!

Tunapatikana Lamada hotel – Ilala, Dar es Salaam

Simu: 0715 343 161 au 0787 343 161

Instagram: @happinessmassage

Facebook: @Happiness Massage Clinic

‘We bring back your happiness’

Leave A Reply