The House of Favourite Newspapers

Jimmy Mafufu agomewa mtoto wa pili

0

jimmyymafufucut.jpgNa Imelda Mtema

Msanii wa Bongo Muvi, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa watu wengi wanamuulizia kuhusu kutafuta mtoto mwingine na mkewe Salma, lakini ukweli ni kwamba mke wake huyo kamgomea.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Mafufu alisema kuwa siku zote anapenda sana kuwa na watoto wawili lakini anakwama kwa sababu mke wake akitajiwa suala hilo anakuwa mkali.

“Niseme ukweli natamani sana kupata mtoto wa pili lakini mke wangu amekuwa mgumu katika hilo, nikimwambia anasema bado wakati wake,” alisema Jimmy.

Leave A Reply