The House of Favourite Newspapers

Kiongozi wa ISIS Auawa

0

Iraqi-Defense-Ministry-logo.

KIONGOZI mkuu msaidizi wa kundi la ISIS, Hashim Nassif Jassem al-Hayali ameuawa kwenye Mji wa Mukhisa, Diyala, baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa Iraq.

Taarifa ya kuuawa kwake imetolewa na Wizara ya Ulinzi Iraq, ambapo imeeleza kuwa kiongozi huyo ameuawa katika shambulio ambalo limejeruhi baadhi ya wasaidizi wake.

Leave A Reply