The House of Favourite Newspapers

Mch Afunguka Kuhubiri Juu ya Migongo ya Waumini

1

Mchungaji (1)-001

Mchungaji Berthania Simon akihubiri huku akiwa amepanda juu ya migongo ya waumini.

Stori:  Gabriel Ng’osha, UWAZI
DAR ES SALAAM: Yule mchungaji aliyezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni baada ya picha zake kusambaa zikimuonesha akiwa amesimama juu ya migongo ya baadhi ya waumini wake huku akihubiri, Berthania Simon, amefunguka kuhusu kitendo hicho, Uwazi limesema naye.

Mchungaji (3)-001

  • Mchungaji afunguka kisa cha kusimama kwenye migongo ya waumini.
  • Kisa hicho chahusishwa na nguvu za giza.

Mchungaji (2)-001

  • Adhaniwa kuwa Freemason.
  • Watu wamwendea kwenye vituo vya televisheni ili wamuanike kuhusiana na kisa hicho.
  • Huku wengine wakimtukana na kufedheheshwa….

Mchungaji (4)-001

  • Baadhi ya wachungaji wamuomba awaunganishe na Freemason.
  • “….kuna watumishi wa Mungu feki ambao wanatumia nguvu za giza kujipatia waumini wengi….” alisema Berthania.
  • Mchungaji amefunguka mengi kwenye Gazeti la Uwazi kuhusu kisa hicho.

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA UWAZI, LEO April 26, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

1 Comment
  1. gambakumari says

    huyo mchungaji siyo wa haki!

Leave A Reply