The House of Favourite Newspapers

Kukosa hamu ya chakula!

0

older-man-with-hand-on-head-near-white-plate-of-foodSukutua na kunywa siki ya tufaha

Watu wengi hujisikia kama wanaoumwa, wakiamini ni malaria, hali inayowafanya wakose hamu ya kula chochote na hata wakati mwingine wakidai ulimi wao kuwa katika sintofahamu. Inapotokea hali hii, chukua kiasi kidogo cha siki, weka kwenye maji kisha sukutua. Unaweza kurudia kufanya hivyo kila baada ya saa moja.
Baada ya kusukutua, weka vijiko viwili kwenye glasi iliyo na kisha yanywe kwani yanasaidia kwa kiwango kikubwa kuua bakteria wanaosababisha kukosa hamu ya kula na kuhisi ulimi kutohisi ladha ya chakula.

Leave A Reply