The House of Favourite Newspapers

Kumbukumbu ya Miaka 4 ya Kifo cha Mzee Bukumbi Yafanyika Bupandwamhela

0

20

Mzee James Bukumbi enzi za uhai wake.

MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (7)

MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (15)Padri akiongoza ibaada ya misa ya kumbukumbuku ya miaka minne tangu kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Publishers, Mzee James Bukumbi.

MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (25)Mtoto wa Marehemu, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers  Marsha Bukumbi wakati wa misa hiyo.MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (8)MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (21)Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia ibaada ya misa.MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (3)MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (22)Padri akibariki makaburi ya wanafamilia waliotangulia mbele za haki.MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (19)

MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (24)Marsha Bukumbi akitoa neno.MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (9)MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (2)Watoto wa marehemu wa kiume wakiongozwa na Marsha kuweka shada kwenye kaburi la baba yao.MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (1)

MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (5)Mjukuu wa marehemu, Asteria akiweka shada kwenye kaburi la babu yake.

MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (6)  MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (4)MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (23)Watoto wa kike wa marehemu wakiweka shada kwenye kaburi la baba yao.MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (14) MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (11) MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (12)Mtoto wa marehemu, Cosmas akiweka shada.MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (13)    MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (17)MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (18)Mafrateli wakiweka shada

MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (26)Padri aliyeongoza ibaada ya misa akiweka shada. MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (20)      MAAZIMISHO BUPANDWAMHELA SENGEREMA MWANZA (16)

KUMBUKUMBU ya miaka minne tangu kufariki kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Publishers & Gen. Enterprises Ltd, Mzee James Bukumbi imefanyika jana nyumbani kwa mareheu Kijiji cha Bupandwamhela, wilayani Sengerema mkoani Mwanza.

Ndugu, jamaa na marafiki waliungana pamoja na na familia ya marehemu Mzee James Bukumbi katika ibada ya misa ya kumbukumbu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu Bupandwamhela.

James Bukumbi alizaliwa mwaka 1933 na kufariki dunia Agosti 25 mwaka 2012 jijini Dar es Salaam, mwili wake ulisafirishwa na kwenda kuzikwa nyumbani kwake kijijini Bupandwamhela.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!

(PICHA: HILARY DAUDI/ GPL, BUPANDWAMHELA)

Leave A Reply