The House of Favourite Newspapers

Video: Rais JPM Afungua Semina Halmshauri Kuu ya CCM Taifa

0

LEO Alhamisi, Desemba 12, 2019, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefungua Semina ya Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa (HKT) ya CCM jijini Mwanza.

 

Lengo la Semina hiyo ni kuwazatiti wajumbe na Maarifa yahusuyo mbinu, mikakati na mipango ya kuendelea kuwaletea watanzania Maendeleo.

FUATILIA MATANGAZO HAYO MOJA KWA MOJA

Leave A Reply