The House of Favourite Newspapers

Lowassa Akutana na Balozi wa Japani Hapa Nchini

0
May 27 2016, aliyekuwa mgombea Urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini, Masahau Yoshida.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Lowassa ameandika; “Nimekutana na rafiki yetu Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida, nikiwa pamoja na viongozi wote wa wilaya yetu ya Monduli.
“Mbali ya kumshukuru Balozi Yoshida kwa misaada mbalimbali wanayoitoa ila zaidi tulijadiliana jinsi gani ya kufanya muendelezo na mikakati ya kuchukulia misaada hii kama nyezo za kufikia malengo ya maendeleo na sio njia ya utegemezi kiuchumi”- Lowassa
Leave A Reply