The House of Favourite Newspapers

Madai ya Wizi wa Gari… Msanii Apigwa Pingu

0

5 Baada ya kutiwa pingu

Imelda Mtema
DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Mrembo ambaye pia ni msanii wa Bongo Muvi, Rashida au Husna Adam mwanzoni mwa wiki hii alijikuta kwenye wakati mgumu baada kukamatwa na polisi na kupigwa pingu mkoani Arusha na kusafirishwa hadi jijini Dar akituhumiwa kuiba gari aina ya Toyota  Premio lenye namba za usajili, T 322 DNK.

Amani lilishuhudia tukio la kuletwa kwa msanii huyo ambapo Jumatatu saa kumi na moja jioni, alishushwa kwenye Basi la Kirumo Stendi Kuu ya Mabasi ya Mkoani, Ubungo jijini Dar.

  • Akumbwa na aibu ya mwaka
  • Atokwa machozi baada ya kuona watu wakimsikitikia kutiwa mbaroni.

9

  • Kumbe sio gari tu.
  • Adaiwa kukomba na vitu vya ndani ya nyumba pamoja na pesa za mumewe.
  • Atokomea navyo Arusha.
  • Baadaye akarudi kuomba msamaha tena wa maandishi kwa mumewe, akasamehewa.
  • Baada ya siku chache, atoroka tena na gari hilo.
  • Polisi wamsaka, wamnasa.
  • AMANI lanasa skendo nzima.

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA RISASI JUMATANO, LEO April 27, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply