MASHABIKI WA YANGA WACHANGAMKIA GAZETI LA SPOTI XTRA
TIMU ya masoko na usambazaji ya Global Publishers Ltd jana Agosti 4, 2019 imetinga Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mashabiki wa klabu za Yanga wamelichangamkia gazeti la Spoti Xtra linalotoka kila Alhamisi na Jumapili kwa bei ya Sh.500/= na kujishindia tiketi za kuona mchezo wa mchezo wa kirafiki Yanga dhidi ya Kariobangi Sharks ilele cha Tamasha la Wiki ya Mwananchi katika mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa.
Timu hizo zimelazimishwa sare ya bao moja.
Comments are closed.