The House of Favourite Newspapers

Mfalme wa Mwisho wa Rwanda, Kigeli V, Afariki Dunia

arton634

Mfalme wa zamani wa Rwanda, Kigeli wa tano, Ndahindurwa amefariki dunia akiwa uhamishoni nchini Marekani.

Mfalme huyo alitawala Rwanda kwa miaka miwili kuanzia mwaka 1959 hadi 1961 wakati utawala wa kifalme ulipong’olewa kupitia kura ya maamuzi na kumlazimisha kwenda uhamishoni.

kigeli_ndahindurwa

Hata hivyo hakuweza kurejea nchini mwake kwa kutofautiana na utawala uliopo sasa nchini Rwanda.

Comments are closed.