Mwakinyo Ahudhuria Mazishi ya Mashabiki Wake

BONDIA namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefika jijini Tanga na kuhudhuria mazishi ya mashabiki wake wawili waliofariki kwa ajali baada ya Gari la ‘Coastal Union’ kupata ajali usiku wa kuamkia Jumamosi, wakati likitokea Dar kuelekea Tanga.

 

Ajali hiyo ilitokea eneo la Bunju jijini Dar es salaam, mashabiki hao walikwenda kumuunga mkono Bondia Mwakinyo katika mpambano wake dhihi ya Mfilipino, Arnel Tinampay, zaidi ya 16 walijeruhiwa.

MSIKIE MWAKINYO ALICHOKIZUNGUMZA


Loading...

Toa comment