The House of Favourite Newspapers

Mwanamke Afariki Akijaribu Kumuokoa Mwanaume

0
Anna Nduku enzi za uhai wake.

Mwanamke mmoja Nchini Kenya, aliyetambulika kwa jina la Anna Nduku amefariki dunia baada ya kusombwa na mafuriko baada ya kumuokoa mwanaume aliyekuwa kazama kwenya mafuriko.

 

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 19 alianguka katika mto Kandisi karibu na eneo la Ongata Rongai, Nairobi, mara baada ya kumuokoa mwanaume nay eye kuangukia katika mto uliovunja kingo zake kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

 

Zaidi ya watu 130 wamefariki kutokana na mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa ambayo imekuwa ikinyesha Nchini Kenya tangu siku ya Jumanne.

 

Leave A Reply