The House of Favourite Newspapers

Navy Kenzo waifungukia Kamatia

0

aika2Navy Kenzo.

Na Boniphace Ngumije, UWAZI

KAPO inayobamba kunako Muziki wa Bongo Fleva, Aika na Nahreel wanaounda Kundi la Navy Kenzo, kwa mara ya kwanza wameifungukia ngoma yao mpya ya Kamatia kuwa imewafanya kupiga hatua zaidi ya kimataifa.

Akichonga na Uwazi, Nahreel alisema kuwa wimbo huo aliutengeneza mwenyewe kwenye studio yake ya The Industry Music na video kufanyia nchini Afrika Kusini chini ya Prodyuza, Justin Campos.

“Tumeumiza sana kichwa kwa ajili ya wimbo huu, tunamshukuru Mungu mambo yamekwenda poa, bila shaka wimbo huu utafanya vizuri zaidi ya Game,” alimaliza Nahreel.“Nafasi ya kucheza filamu na ngoma umeibeba na kuhangaika nayo mitaani bila sababu yoyote,” alisema Aika.

Leave A Reply