The House of Favourite Newspapers

Nay wa mitego Shika Adabu Yako Imekaa Vibaya Aisee

1

nayStori: Musa mateja

Ngoma ambayo Mwanamuziki Nay wa Mitego ameiachia hivi karibuni inayokwenda kwa jina la Shika Adabu Yako, imekaa vibaya na haiwezi kuwa poa kwa mastaa kama vile Ray, Wema na Shetta na Basata kutokana na namna alivyowachana.

Ndani ya ngoma hiyo unasikia akimdis Ray kuwa eti mpaka leo anaishi kwao, Shetta naye na magari ya kuazima, Wema na mimba feki huku Basata wakipondwa kuwa wanafungia kazi za wasanii kiholela.

Kwa floo na bit, ngoma iko poa ila kwa maneno yaliyomo ni ngumu sana traki hiyo kupigwa redioni na kufungiwa kwake kuko nje nje

1 Comment
  1. David Bupilipili says

    Akome

Leave A Reply