×


Facebook

Amissi Tambwe hizi sasa dharau

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe amewata mashabiki wa timu yake kutulia na kutohofia lolote katika mechi ya leo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba,…

SOMA ZAIDIMabilionea Wasio na Huruma 44

WAKATI Dk Viola na nduguye Vanessa wamejificha nchini Tanzania wakiwa katika sura mpya za wazee wa Kijapan na wamekaribishwa katika nchi hii ambayo ni asili…

SOMA ZAIDI

Simba ikiingia mtego huu imekwisha

KOCHA Hans van Der Pluijm amesisitizia wachezaji wake kucheza mipira ya chini kila wanaposhambulia na mwisho wa kucheza mipira ya juu ni katikati ya uwanja…

SOMA ZAIDI

Kiiza agoma Simba, kocha amtuliza

KINARA wa mabao katika Ligi Kuu Bara, Hamis Kiiza, jana Ijumaa aligoma kuendelea na mazoezi ya asubuhi na wenzake baada ya kutoridhishwa na mwamuzi wakati…

SOMA ZAIDI


Simba waponda mazoezi ya Yanga

MASHABIKI wa Simba wameyabeza mazoezi ya Yanga kwa kusema ni ya kawaida na kamwe wasijidanganye kama yatawawezesha kuifunga timu yao. Mmoja wa wapenzi wa Simba…

SOMA ZAIDI


Kufuru…Pati ya Diamond na Zari

Mwandishi wetu Mastaa wawili wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanadaiwa kuangusha bonge la pati…

SOMA ZAIDI

Otilia live na Ally Yanga

Bendi ya ToT, Otilia Boniface akidendeka ‘live’ na shabiki maarufu wa Yanga aitwaye Ally Said ‘Ally Yanga’. Richard Bukos, aliyekuwa Geita KATIKA hali iliyoashiria usaliti,…

SOMA ZAIDI

Uchaguzi wampa likizo JB

Imelda Mtema LIKIZO! Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa amelazimika kujipa likizo ya lazima kwa kutofanya shughuli za sanaa hadi pale uchaguzi…

SOMA ZAIDI

Wema amtaja mwanaume atakayezaa naye

Mrembo asiyepoteza ubora wake kunako tasnia ya Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Luis Munana Imelda Mtema BAADA ya kupita ukimya mrefu bila kuzungumzia mapenzi, mrembo…

SOMA ZAIDI

Mbasha na simulizi ya kutaka kujinyonga

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha. Brighton Masalu KUMBUKUMBU ya kusikitisha! Siku chache baada ya kushinda kesi ya ubakaji wa shemejiye, Emmanuel Mbasha ameibuka…

SOMA ZAIDI

Magufuli gumzo Kanda ya Ziwa!

Mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufu. Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk John Pombe Magufuli ambaye…

SOMA ZAIDI

Davina acharuka kisa kurudi kwa mumewe

Imelda Mtema FUNGUKA! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amesema anakasirishwa na ‘wambeya’ ambao kila uchwao wamekuwa wakimuuliza atarudi lini kwa mumewe,  Abdallah…

SOMA ZAIDISimulizi ya JB: filamu zake Jerusalem

“Ngoja nikwambie kitu kimoja. Kuna vijana wengi siku hizi wanaweza kukufuata na kukwambia kwamba wanataka kuigiza, sawa, ila ukiwauliza kwa nini wanataka kuigiza, wanakwambia ni…

SOMA ZAIDI

No Picture

Penzi lisiloisha (Unending Love)-042

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea…

SOMA ZAIDI

Kwa Mwanangu nitakayemzaa-23

Baada ya miezi mitatu kupita tangu Abikanile afanyiwe kitendo cha kinyama kwa kubakwa na kina Ruben pamoja na Lass anahisi kuwa ana kila dalili za…

SOMA ZAIDI

Al-Shabaab ni nani? -9

Al-shabaab wavamia kanisa, kambi ya jeshi, 80 wauawa! ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza ni kwa jinsi gani Wanamgambo wa Kundi la Al-Shabaab wanavyozidi kuwa…

SOMA ZAIDI

Uvimbe katika kizazi cha mwanamke-2

Wiki iliyopita tulianza kupeana elimu ya uvimbe unaoota katika kizazi cha mwanamke. Pamoja na kuwa kumekuwa na uvimbe mbalimbali katika kizazi cha mwanamke tulianza na…

SOMA ZAIDI

Waoo…! Kama Jana Vile!-11

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Baba Monica alikuja juu, alianza kuhisi kuchanganyikiwa. Alitambua kuna jambo baya kalifanya mkewe na mwanaume huyo… “Hebu kaa hapa kwanza,” alisema baba…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 41

ILIPOISHIA Siku ya pili Koleta alirudisha majibu kwa mpenzi wake kuwa amekubaliwa akutane na wazazi wake na wako tayari kumuomba msamaha.“Mbona kama imekuwa rahisi sana…

SOMA ZAIDI
‘Viva Roma Viva’ wafungiwa rasmi

Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) wameufungia rasmi wimbo wa mwanamuziki Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ uitwao ‘Viva Roma Viva’ na nyinginezo zenye ujumbe kama ule unaokiuka…

SOMA ZAIDI

‘Dogo Diamond’ aliyewateka Wanaijeria

Msanii wa Bongo Fleva Rajabu Abdulkhali ‘Harmonizer’. Andrew Carlos UKIZUNGUMZIA miongoni mwa vichwa vya Bongo Fleva vinavyokuja kwa kasi kwa sasa ni wazi utamzungumzia msanii, Rajabu…

SOMA ZAIDI


No Picture

Siri ushindi wa Lowassa hizi hapa!

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa. Neophitius Kyaruzi MGOMBEA urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja…

SOMA ZAIDI

No Picture

Magufuli selema selema kila kona

Na Richard Bukos, Geita AMSHA AMSHA! Wimbo maarufu wa ukakamavu wa ‘Selema Selema’ unaotumiwa na mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk….

SOMA ZAIDI


GLOBAL TV