The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Dimba la Taifa Linakaribia ‘Kutapika’

0

taifa (1)

Kuelekea mechi kati ya Yanga Vs TP Mazembe ya Congo DRC, Uwanja wa Taifa umekwisha funguliwa tangu saa 2:00 asubuhi na watu wanamiminika kwenda kushuhudia mpambano huo wa kihistoria utakaoanza saa 10:30 jioni.

Mpaka sasa dimba hilo linakaribia ‘kutapika’ yaani kujaa kutokana na wingi wa mashabiki waliofurika kushuhudia mpambano huo.

taifa

Leave A Reply