The House of Favourite Newspapers

Rais Amtunuku Askari Aliyejitosa Kufundisha Wanafunzi na Bunduki

0

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amemtuza Ofisa wa Jeshi la Polisi, Jairus Mulumia, ambaye alijitolea kuwafundisha wanafunzi katika Shule ya Msingi ya Forole akiwa na bunduki huku akiwa amevalia sare za jeshi la Polisi.

Mulumia alifanya uamuzi huo baada ya walimu wengi kukataa kufika katika shule hiyo kutokana na visa vya ukosefu wa usalama katika eneo hilo.

Picha: State House Kenya, Education Development Trust – Africa, Abdihakim Keinan na Bissa Kurao.

Leave A Reply