The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali

magufuli-1

Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 03 Disemba 2016. Maafisa Wakuu hao ni;

kamandaaaa Brigedia Jenerali George William Ingram Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga

Brigedia Jenerali George William Ingram ambaye ni Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga, na  Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.

kamndaa Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Adolf Mwamunyange kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu anawapongeza na kuwatakia kheri katika vyeo vyao vipya.

Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na
Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P  9203,   

Dar es Salaam,  Tanzania.

 

ASANTE YA RC PAUL MAKONDA KWA GLOBAL TV

halotel-strip-1-1

Comments are closed.