The House of Favourite Newspapers

Siri Diamond Kummwaga Zari!

0

zari-diamond4

Diamond Platnumz na mama wa mtoto wake Zari.

DAR ES SALAAM: Nyuma ya pazia la sakata la staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutaka kummwaga mama wa mtoto wake, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’, Zarinah Hassan Tiale ‘Zari The Boss Lady’, kuna siri nzito, Amani limenyetishiwa.

  • CHANZO CHAFUNGUKA
  • Habari kutoka kwa chanzo ambacho ni mtu wa karibu wa familia ya Diamond zilieleza kuwa, hivi karibuni kuliibuka madai mazito kuwa, Diamond, kama ilivyo tabia yake ya kutodumu na mwanamke kwenye uhusiano wa kimapenzi, tayari ameonesha ishara zote za kuachana na mama Tiffah.
  • Je, ni  skendo ya Diamond ,kutoka na Video Queen wa Bongo, Irene?

zarinaaaa

Zari akiwa na mwanaye, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’

  • Kumbe siri ni Tiffah
  • “Kwa taarifa yenu, Diamond hawezi kummwaga Zari kirahisi na siri ni moja tu ni Tiffah. Ukweli ni kwamba, Tiffah ndiye…..”
  • Wema, Pennye na Jokate watajwa
  • ….“Sisi tunamjua jamaa (Diamond), anapotaka kuachana na mwanamke huwa kunakuwa na figisufigisu kama zile za Lynn. Kunakuwa na madai kisha inafuata habari kamili,” kilifunguka chanzo hicho na kuongeza:
  • ZARI VIPI?
  • Mapema wiki hii, Amani lilifika nyumbani kwa mastaa hao, Madale-Tegeta, nje kidogo ya Jiji la Dar kumuulizia Zari ambapo kwa mujibu wa mlinzi, tangu mwanamama huyo aondoke na Tiffah yapata wiki mbili zilizopita, hajarejea.
  • HUYU HAPA DIAMOND
  • “Ni kweli nampenda sana Tiffah na natamani muda wote niwe naye lakini…..”

HABARI KAMILI SOMA GAZETI LA AMANI LEO ALHAMISI

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply