The House of Favourite Newspapers

Tamthiliya Ya Siri Za Familia Yapata Pigo, Mr Benson amezikwa jana Pwani

indexHaji Jumbe ‘Mr. Benson’ enzi za uhai wake.

3

Mwili wamarehemu Haji Jumbe ukisitiliwa katika makaburi ya Kisutu, Bagamoyo mkoani Pwani.

4 5

Baadhi ya wasanii wa Tamthiliya ya Siri za Familia wakimzika msanii mwenzao.

6 7

Baadhi ya wasanii wa Tamthiliya ya Siri za Familia wakiwa mbele ya kaburi la msanii mwenzao.

88

Msanii Teya akiwa na wasanii wenzake kwenye msiba.

999

Kiongozi wa Tamthiliya ya Siri za Familia, SanctusMtsimbe (kushoto) akiwa na Rais wa Shilikisho la Filamu Nchini ‘TAFF’ , Saimon Mwakifamba

img_1125 img_1129 kaka-wa-marehemu-ismal-akiwa-na-msanii-wa-siri-ya-familia-abdul

ndugu-wa-marehemu

Juu (kushoto ), ni mdogo wake marehemu, Ismali Jumbe akiwa na msanii Abdul wa Siri za Familia (chini), Ismaili akiwa n nduguye.

wasanii-siri-za-familia-wakiwa-kwenye-picha-ya-pamoja

Baadhi ya wasanii wa Tamthiliya ya Siri za Familia wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Tasnia ya filamu nchini imepata pigo baada ya msanii wa Tamthiliya ya Siri za Familia ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati na Uchumi na Fedha, Haji Jumbe ‘Mr. Benson’  aliyefariki jana saa10 jioni katika Hospitali ya Mvungi, Kinondoni, jijini Dar.

Akizungumza na GPL Staa wa Tamthiliya hiyo, Abdul, amesema kuwa marehemu aliugua tumbo ghafla na alipopelekwa hospitalini alibainika kuwa utumbo umejisokota.

Marehemu Haji alikuwa mmoja wa wasanii mahiri wa Tamthiliya ya Siri za Familia inayorushwa na Kituo cha East Africa Television (EATV ), amezikwa jana katika makaburi ya Kisutu, wilayani Bagamoni, Pwani na ameacha watoto 3 na mke mmoja.

(HABARI/PICHA;  GABRIEL NG’OSHA)

Comments are closed.