The House of Favourite Newspapers

Ujenzi barabara ya Ali Hassan Mwinyi wafikia Makumbusho Dar

1

1.Mafundi wakiwa kazini.

Mafundi ujenzi wakiwa kazini.

2. 3
Kifusi cha udongo kikiwa pembeni katika ujenzi huo.

5.Zege ikimwagwa kutumia kijiko cha gari la ujenzi.Zege likimwagwa kutumia ‘kijiko’ cha ujenzi.

UJENZI wa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi uliotokana na tamko la Rais Dk. John Magufuli wa kupanua barabara hiyo kutokea Mwenge hadi Morocco sasa umefika eneo la Kijiji cha Makumbusho ya Taifa sehemu inayojulikana kama Victoria jijini Dar.
Kamera ya mtandao huu imefanikiwa kunasa baadhi ya picha zinazoonesha ujenzi huo katika eneo hilo la Makumbusho .

Na Denis Mtima/Gpl.

1 Comment
  1. David O.Gang'ai says

    Kutakuwa na mabadiliko makubwa sana baada ya barabara hii kumalizika. Hiyo itakuwa ni matokeo ya kwanza kuwa wananchi wamamchagua Rais anayejali maendeleo ya nchi.

Leave A Reply