The House of Favourite Newspapers

Umeiona video mpya ya Beyonce akiwa na mwanaye?

1

DIVA wa muziki wa Pop, Beyonce Knowlese amewafanyia sapraiz mashabiki wake baada ya kuachia ghafla video ya wimbo wake mpya wa Formation akiwa sambamba na mtoto wake, Blue Ivy.

Katika video hiyo Blue Ivy anaonekana akijichanganya na watoto wenzake.

Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL

1 Comment
  1. David Bupilipili says

    Nitumien whatsap

Leave A Reply