The House of Favourite Newspapers

VIDEO: JOHARI Afunguka Kifo cha Mdogo wa Kanumba

0


Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, amefika nyumabani kwa mama Kanumba Kimra – Temboni jijini Dar es Salaam baada ya kifo cha Mdogo wake Kanumba Seth Bosco kilichotokea usiku wa kuamkia Desemaba 7, 2019.

Leave A Reply