The House of Favourite Newspapers

Vijana Wanachinja na Kula Paka Mbichi, Wanabugia Minyoo – Video

0

UKISTAAJABU ya MUSA utayaona ya FIRAUNI! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia vijana hawa wawili wa makamu wasioweza kula chakula cha kawaida badala yake wanakula nyama ya paka tena akiwa mbichi bila hata kupikwa, konokono, funza na wadudu wengine wa ajabu.

Leave A Reply