The House of Favourite Newspapers

Wakazi Dar Wachangamkia Gazeti la Uwazi

0

3

Gerald Paschal mkazi wa Kifuru akiwa na nakala ya Uwazi.

4

Mama Nasri mkazi wa Kifuru akisoma Uwazi.

5

 Msomaji aliyejulikana kwa jina moja la Musa, mkazi wa Mbezi-Mwisho, akipata maelekezo kutoka kwa muuzaji wa azeti la Uwazi, Mwamvita.

 

PICHA/STORI: Gladness Mallya/GPL

WAKAZI  wa Dar es Salaam jana walijikuta wakichangamkia vilivyo gazeti la Uwazi kutokana na habari zake za kusisimua.

Wasomaji mbalimbali walilipongeza gazeti hilo kwa kuendelea kutoa habari za kusisimua na zinazoelimisha jamii, wakitaka liendelee zaidi  kuelimisha jamii na wakiahidi kulisoma kila Jumanne linapotoka mtaani.

 

PICHA/STORI: Gladness Mallya/GP

Leave A Reply