The House of Favourite Newspapers

Wanafunzi Vinara na Shule Zilizoongoza Matokeo Darasa la 7

Shule 10 Bora Kitaifa Katika matokeo ya Darasa la Saba 2019 ni Graiyaki (Mara), Twibhoki (Mara),KemeBos (Kagera), Little Treasures (Shinyanga), Musabe(Mwanza),Tulele(Mwanza), Kwema Morden (Shinyanga), PeaceLand (Mwanza), Mugini (Mwanza) na Rocken Hill (Shinyanga).

 

Mwanafunzi aliyeongoza Kitaifa ni Grace Manga kutoka Shule ya Msingi Graiyaki Mara, akifuatiwa na Francis Gwagi kutoka Shule ya Msingi Paradise ya Geita, nafasi ya tatu ni Loi  Kitundu kutoka Shule ya Msingi Mbezi ya Dar  es Salaam, na Victor Godfrey kutoka Graiyaki ameshika nafasi ya nne.

BOFYA ====> PSLE-2019 EXAMINATION RESULTS

Comments are closed.